Agribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomyNafikiri Agribusiness imekaa vizuri, lakini kama unataka kuwa bwanashamba kasome Agricultural general
Unataka kuajiriwa au kujiajiri? Tuanze hapa kwanzaAgribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy
Umenipata mkuu
Nimekupataje? Nijibu kwanza. (swali la hapo juu)Umenipata mkuu
Kuajiriwa lakini b4 ajira niwe na chakufanya nisikae idleNimekupataje? Nijibu kwanza. (swali la hapo juu)
Unaweza ukafiti hapo kijanaAgribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy