Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

Lio tz

Member
Apr 16, 2018
71
26
Wakuu habari ninaomba ushauri nimemaliza form six Nina div 2 ya 10 cbg nimepangiwa bsc in agribusiness ninataka nikabadilishe hio kozi nikasome Agriculture general au agronomy naomba ushauri wenu juu ya maamuz haya mkizingatia sina background na economic hata ya olevel also marketing ranks ya hizo kozi naombeni ushauri asante
 
Nafikiri Agribusiness imekaa vizuri, lakini kama unataka kuwa bwanashamba kasome Agricultural general
 
Nafikiri Agribusiness imekaa vizuri, lakini kama unataka kuwa bwanashamba kasome Agricultural general
Agribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy
 
Lengo kubwa ni kuajiriwa but nafahamu cio easy kipindi cha msoto kitakuwepo ndo maana am looking for multporposes course ambayo ntaweza kujiajiri huku nasikilizia steping stone
 
Agribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy
Unaweza ukafiti hapo kijana
IMG-20190813-WA0016-1.jpeg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom