Ze showstopper
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 243
- 355
aah..wapi bwana! professional bongo hii! watu wengi hapa bongo wanafanya kazi ambazo haziendani na professional zao...unashangaa engineer kaajiriwa jeshi la polisi, kazi yake kukamata waharifu. wewe komaa tu na hiyo kozi na ukifika wakati wa kuchukua masters utajipanga kwa kozi inayolipa zaidi!
Kumbe kuna engineer anakamata wahalifu na hajapitia mafunzo ya upolisi?
Kumbe umekiri mwenyewe kwamba kuna mafunzo lazima?hiyo ndio ilikuwa point yangu.engineer ni professional mtu anaipata akihitimu BSc. na upolisi anaupata akienda chuo cha polisi miezi 6 baada ya hiyo BSC. kwa hiyo professional = engineer & job = police officer! wapi huelewi unless mvivu wa kifikiri!
Kumbe kuna engineer anakamata wahalifu na hajapitia mafunzo ya upolisi?
Kumbe umekiri mwenyewe kwamba kuna mafunzo lazima?hiyo ndio ilikuwa point yangu.
hahahahaah umenikumbusha sana mkuu.....vipi statics .....momentum,structure analysis,resultants zinasemaje???!!!Eng mech inakufukuza na sio sabåbu nyngne hahaha.mm mwnyew nipo kwenye hlo daras pole kaka tujuane
Eng mech inakufukuza na sio sabåbu nyngne hahaha.mm mwnyew nipo kwenye hlo daras pole kaka tujuane