Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
R.I.P Bruno Metsu(Abdullah Metsu)
Dah! Very sad indeed. Baada ya Senegal alikwenda kufundisha Timu fulani huko Uarabuni, au kumbukumbu zangu sio sahihi?
RIP Bruno!
R.I.P Bruno Metsu(Abdullah Metsu)
Kwani na huko kuna mpira?...huko bado atakuwa anafundisha mpira?
Yule kocha wa zamani wa kikosi cha senegal aliyekipeleka fainali ya mataifa afrika 2002 na robo fainali ya kombe la dunia bruno metsu amefariki dunia leo kwa maradhi ya kansa ya tumbo.. Source magazeti ya leo ufaransa