Yaaaan kumkompare Bruno Mars na Jb ni dhambi kabsa,sijui kama inasameheka๐๐๐๐.
Japo jb yupo vizuri lakin kwa Bruno atasubiri sanaaaaaaaaaaa
Kanzia utunzi, instrument,kumiliki jukwaa,kucheza na vocal lenyewe.yaaaan siku nikihudhuria concert yake live haki wabongo hamtopumua.