jamani nilikuwa naomba tuzicompete hivi vitu hivi browser ipi ni nzuri kwa mambo y a intanet kwenye simu za kisasa
Huwezi kushindanisha kihivo yani general kila moja inamzidi mwenzake
Mfano uc hairuhusu kupoteza data zako kila unavoitumia inafanya backup ya data zako ila opera haina.
Opera inafanya compresion kubwa kuliko uc
Uc ina built in streaming inayoruhusu kuangalia streaming za youtube wakati opera haina
Version ya opera ya java ni strong compare na ya uc ambayo mpaka ya symbian ndo nzuri
Download manager ya uc ni nzuri kiasi ina resume hata uki exit application wakati operamini kuna hatari ya download kupotea ukiexit
Opera ya symbian ina javascript nzuri inayosupport file sharing website kama 4shared file sonic na fileserve ila ucweb haina
Ucweb ni nzuri kwa simu zisizo na copy and paste (kama baadhi ya samsung) maana inaziwesha kukopy ila operamni hadi version kubwa ndo utaweza copy (kuanzia 5)
Operamnini ina account online unayoweza kusync online vitu kama bookmarks wakati ucweb haina
So naona inategemea na matumizi yako ni vizuri uwe nazo zote mbili kwenye simu