..kuna makabila hapa Tanzania yana mila za kurithishana wake.
..pia hivi hamshangai kule vijijini kila mwanaume mwenye mke amebarikiwa kuwa na watoto?
..hivi wanaume wote huko vijijini wana uwezo wa kuzaa, wenye tatizo siku zote ni wanawake tu?
..mimi nadhani kuna siri kubwa zinaendelea vijijini ambapo wanaume ambao hawajabarikiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha wanasaidia na wenzao/ndugu zao ktk suala hilo. halafu hiyo inabakia kuwa siri ya wahusika.