kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,757 Nov 7, 2017 #3 sijapata ona mtandao wa kijamii wenye watu wanao andika caption zenye makosa ya kiuandishi kama facebook. na wanao ongoza ni wanawake.
sijapata ona mtandao wa kijamii wenye watu wanao andika caption zenye makosa ya kiuandishi kama facebook. na wanao ongoza ni wanawake.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Nov 7, 2017 #4 mshana jr huu uzi umeanzisha mara mbili? si kuna ule mwingine unaendelea kulee
Mugunga JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 640 Reaction score 911 Nov 7, 2017 #5 Mshana,kilichoko FB hususani makosa ya kiuandishi kinareflect hali ya elimu ya vijana wengi.Makosa ni mengi mno kiasi kuwa mtu unaweza kujiuliza ,hivi hawa wamepita shule kweli?
Mshana,kilichoko FB hususani makosa ya kiuandishi kinareflect hali ya elimu ya vijana wengi.Makosa ni mengi mno kiasi kuwa mtu unaweza kujiuliza ,hivi hawa wamepita shule kweli?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,062 Apr 22, 2018 Thread starter #6 .
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,566 Reaction score 39,048 Apr 22, 2018 #7 Mshana Jr said: . View attachment 752741 Click to expand... Eti Yuti yai....ha ha haaa aisee
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 7,035 Reaction score 9,280 Apr 22, 2018 #8 Mshana Jr said: . View attachment 752741 Click to expand... hahahahaa huyu dem alitisha sana aisee