Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,096
- 136,695
kila siku unapreach watu wasioane na ushindwe!!!!...usisahau wewe upo leo as a product ya watu wawili pamoja!..ningependa kujua r'ship ya wazazi wako ikoje...you sound km mtoto wa mamdogo vileee....
Kwani kuzaaa au kuzaliwa lazima wazazi wawe wameoana? Wee vipi wewe? Hivi hujui siku hizi kuna watoto wanazaliwa kwenye ma test tube na ma petri dish? ushamba kitu kibaya sana....
mnh uko defensive eeeh???
hapa tanzania kuna mtoto keshawahi tokea kny petri dish??
na kama wapo nina uhakika WEWE SIO MMOJA WAO,sasa unataka kukataa babako hakushare kitanda na mamako???..
Hujanipata....nimekuuliza...kwani lazima mimi wazazi wangu wawe walioana kunizaa mimi? Mimi ninachokataa ni kuoa na huo ni uamuzi wangu binafsi. Usichokielewa nini hapo?
hakuna atakayekulazimisha kuoa....
hizo remarks unazokuja nazo hapa,wengi tumeconclude issue kwako sio kuoa,unapreach hard kutokuwa na mtu kabisaaa....siwezi kuquote posti zako zote hapa ulizojibu kny topik mbali mbali....ila sio siri wengi tunasoma na kudhani kuna walakini,....
upo leo sababu watu walikisiana (jambo ambalo hupendi? upo hapa sababu watu walishare kitanda (jambo ambalo hulipendi)....upo hapa because of so and so...MAMBO AMBAYO UMETAMKA WAZI KUWA HUYAPENDI!!!!!!!!(by the way tunajiulizaga nadhani wengi nini UNAPENDA..mara ya kwanza nikadhania labda gay,ila nimegundua uko selfish basi tu!...(i dont mean to be offensive here bro....
I love the song although I dont wanna kill any one lollKuna miss lady mmoja kaniambia hiki kibao cha Melanie Fiona kilimpa nguvu kidogo....so this goes out to any girl who's been cheated on....enjoy....
mwalimu wee acha tu, naona siku hiz hii kitu ni fasheni tu
mnaoana asubhi jioni mnaachana.....
sio lazima lakini it is better.... how u gonna tell ur kids that they are bastards ? or how will u feel if u was one? test tube? come on now why would u want that... unless if ...... :rofl:Kwani kuzaaa au kuzaliwa lazima wazazi wawe wameoana? Wee vipi wewe? Hivi hujui siku hizi kuna watoto wanazaliwa kwenye ma test tube na ma petri dish? ushamba kitu kibaya sana....
kama ni hivyo basi bora manake daima ni rahisi kuingia lakini kutoka ndio ngoma.... kama mnaona maisha hayaendi vizuri bora mnakubaliana na mnaachana kila mtu ajue maisha yake...but it never work this way most of the time it is very difficult to get divorce...
Ndoa za zamani nadhani zilidumu kwa sababu mama zetu na bibi zetu walikuwa sio independent and not educated...they only depended on their husbands with too many kids where will she go? so they kept up with all the trouble.... halafu baba zetu pia walikuwa wanaheshimu family zao kidogo... sio wanaume wa siku hizi, they want us to share responsibilities, thats means we should work to make money and we should take care of the house and kids and they expect us to put up with their shit? (excuse my language)....what makes it hard to get out of this tie nadhani ni viapo.......mpaka kifo kiwatenganishe (ndoa nyingi za zamani hii iliwafanya wavumiliane kweli kweli)
ila si kwa ndoa nyingi za sasa hivi, kuna siku nimesoma gazeti moja likiongelea kupanda kwa idadi ya talaka......
wat makes getting divorce difficult?
mbona wote mnamwambia achape lapa tu je kam ni ndoa ya kikristo? atachapaje lapa?
sio lazima lakini it is better.... how u gonna tell ur kids that they are bastards ? or how will u feel if u was one? test tube? come on now why would u want that... unless if ...... :rofl:
A human being can never be illegitimate. Any person with a heart will never regard another human being as a bastard. I have a heart and that's the difference btn me and you. So If I have or had kids out of wedlock, they are not bastards. They are human beings.
thats why I love you NN......
I hate that word, kweli kwa mtu mwenye moyo wa nyama huwezi kuthubutu kumwita mtoto hivo. hakuchagua kuzaliwa nje ya ndoa sasa kwa nini umuadhibu kiumbe asiye na kosa??!!!
Hey Ngabu dont twist this on me...it wasnt me who invented the name.... and it is not me who is gonna call the baby bastard... but this is how the society will call him/her and they will look at him/her as one, whether u like it or not, because you simply cant change ppl and u should know that you are not living alone in this world... now I am the one without heart here? because I dont wanna those kids to be looked down or called names... may be it won't affect you as a parent but I am sure it will affect the child... when his friend will start calling him names and ask him why his parents never get married etc etc ....A human being can never be illegitimate. Any person with a heart will never regard another human being as a bastard. I have a heart and that's the difference btn me and you. So If I have or had kids out of wedlock, they are not bastards. They are human beings.
what makes it hard to get out of this tie nadhani ni viapo.......mpaka kifo kiwatenganishe (ndoa nyingi za zamani hii iliwafanya wavumiliane kweli kweli)
ila si kwa ndoa nyingi za sasa hivi, kuna siku nimesoma gazeti moja likiongelea kupanda kwa idadi ya talaka......
wat makes getting divorce difficult?[/QUOTE]
cjui kwanini ki bongo bongo ishu ya divorce inakuwa ngumu, sheria zetu nazo mlolongo mrefu unazungushwa mpaka bac...na wanaume wetu hawa unawambie ishu ya divorce? khaa...lakini mie ctasubiri karatac la mtu kama ishu zimenizidi umri.
Hey Ngabu dont twist this on me...it wasnt me who invented the name
.... and it is not me who is gonna call the baby bastard...
but this is how the society will call him/her and they will look at him/her as one, whether u like it or not, because you simply cant change ppl and u should know that you are not living alone in this world... now I am the one without heart here?
because I dont wanna those kids to be looked down or called names... may be it won't affect you as a parent but I am sure it will affect the child... when his friend will start calling him names and ask him why his parents never get married etc etc ....
Any child born out of wedlock is illegitimate child and this is not according to me HUH!!
what makes it hard to get out of this tie nadhani ni viapo.......mpaka kifo kiwatenganishe (ndoa nyingi za zamani hii iliwafanya wavumiliane kweli kweli)
ila si kwa ndoa nyingi za sasa hivi, kuna siku nimesoma gazeti moja likiongelea kupanda kwa idadi ya talaka......
wat makes getting divorce difficult?[/QUOTE]
cjui kwanini ki bongo bongo ishu ya divorce inakuwa ngumu, sheria zetu nazo mlolongo mrefu unazungushwa mpaka bac...na wanaume wetu hawa unawambie ishu ya divorce? khaa...lakini mie ctasubiri karatac la mtu kama ishu zimenizidi umri.
kwenye divorce dearest, sidhani kuna kuzungushana, kina procedures tu you have to follow na mambo inakwenda poa. as far as unaweza kuithibitishia mahakama wakati wa shauri kuwa ndoa yako has broken irreparebly (as in this case) basi huna kupoteza muda wala.
karatasi si muhimu kulisubiria ukiwa humo humo bana, unasepa na taratibu ya kulipata unafanya ukiwa nje mamii