Alooh sasa nafanyajee!!1.Broo.. Kamwe usimtongoze mteja
2. Bro..Mwezi December sio muda wa kupata demu mpya, utayavaa majukumu
3.Bro.. usipige goti, wala kulia Kwa akili ya uchi
4. Bro.. ukichukua namba ya pisi, epuka kutongoza siku hiyo hiyo
5. Bro.. epuka kumweka ndugu kwenye biashara zako
6. Bro SMS ya " naomba tuachane" au "nikwambie kitu" Huwa haijibiwi
7. Bro ikitokea mambo yameenda vibaya labor, okoa mke kwanza
8. Bro.. Kamwe usimheshimu mwanamke mnapokuwa kitandani
9. Bro.. ujumla demu mara kwanza, usimsifie sana, ili awe anaomba mechi mwenyewe
10. Bro.. epuka punyeto, epuka kufanya mapenzi na mwanamke akiwa period ni nksi kubwa
Endelea ......
Wakongo ndozenu
Lisu yuko nyuma ya nondo wewe unawaza kudinya 'nywa
wakongo mkasababisha che quavala akatekwe bolivia mnakimbia vita msituni kwenda kudinya mademu kitaa
Sheria kibao kila siku,hadi maisha yanakosa maana..1.Broo.. Kamwe usimtongoze mteja
2. Bro..Mwezi December sio muda wa kupata demu mpya, utayavaa majukumu
3.Bro.. usipige goti, wala kulia Kwa akili ya uchi
4. Bro.. ukichukua namba ya pisi, epuka kutongoza siku hiyo hiyo
5. Bro.. epuka kumweka ndugu kwenye biashara zako
6. Bro SMS ya " naomba tuachane" au "nikwambie kitu" Huwa haijibiwi
7. Bro ikitokea mambo yameenda vibaya labor, okoa mke kwanza
8. Bro.. Kamwe usimheshimu mwanamke mnapokuwa kitandani
9. Bro.. ujumla demu mara kwanza, usimsifie sana, ili awe anaomba mechi mwenyewe
10. Bro.. epuka punyeto, epuka kufanya mapenzi na mwanamke akiwa period ni nksi kubwa
11. Bro ... Oa Binti anayempenda baba yake,
Endelea ......
Lissu kuwa nyuma ya nondo ndio maisha hayatakiwi kuendelea
Kwa hiyo asipodinya Lissu anaachiwa sio
Akili za kipumbavu hizo
Sheria kibao kila siku,hadi maisha yanakosa maana..
Mkuuu achana na principle kibao izii hazitakusaidia chochote,
Kama vipi njoo hapa kitambaa cheupe mara moja kuna pisi balaa ndo tunataka tuagize shisha hapa..
Naam wewe ndio MTU sasa...No. 11 kuna mtu aliwahi niacha eti nampenda Sana Baba kuliko yeye πππ
yanatisha kidogo mashehe wanajua hiliMaelezo kidogo
ππππ Mwenzio kachemka kakimbiaNaam wewe ndio MTU sasa...
Ndio niliyekuwa nakutafuta miaka mingi