kipachaibwe
Member
- Dec 11, 2020
- 36
- 71
- Thread starter
-
- #21
Bro hamis ni mbavu nene mkuuusiogope omba pambano la ngumi na huyo Hamis, mshindi analala na pisi siku hiyo
Hahahaaa... wewe ndio utakuwa hamisi mwenyeweHamis. Hana smartphone
Kuwa serious na wewe....
Wake za watu ni wabadi sana mwaisa
Asante mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangekudaka sikukuu yote wangekula na wewe!
Kama ni mlokole nenda ukatoe sadaka ya shukrani kanisani
Bagamoyo maeneo ya Epifani. Waganga aliowaona wamsaidie walimwambia ni lazima aende Pemba hukohuko lilikotumwa komboraHii imetokea wapi huko mkuu?huyo jamaa alijaribu kutafuta tiba yake?
Sokaaaap hapa nyonyoma[emoji23][emoji23][emoji23]
Bagamoyo maeneo ya Epifani. Waganga aliowaona wamsaidie walimwambia ni lazima aende Pemba hukohuko lilikotumwa kombora
Kubwa inaonekana na kwa maelezo yake inauma hatari hasa usikuNa huo uvimbe una ukubwa gani?kwamba hata akivaa suruali kwa nje inaonekana?
Mkuu nimejifunza nahisi maumivu ndani yangu najutaDogo unafurahia kitonga? Vya bure vina gharama yake
duh watu wanaroga vibaya,na kwa uzito wake inampa shida hata kutembea si ndio?Kubwa inaonekana na kwa maelezo yake inauma hatari hasa usiku
Anapanua miguu akitembea na anavaa msuliduh watu wanaroga vibaya,na kwa uzito wake inampa shida hata kutembea si ndio?
duh watu wabaya sanaAnapanua miguu akitembea na anavaa msuli