Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Issue siyo media bali najaribu kuonyesha jinsi waingereza walivyokuwa ma FLIP FLOPPERS kila kukicha
sasa next time wakianza kutupa lectures tujue kuwa zipo sehemu za kuwakamatia
GT
Binafsi sioni unachotetea. Najua wewe na JK dam dam(una imani naye); lakini mimi naangalia Tanzania yetu. Kuna ubadhirifu wa kutisha wa rasilimali zetu. Yeyote anayeungana na wale wenye uchungu na mali yao nadhani hiyo ni ccmpliment.
lets watch out hii thread inakoelekea !+!
Saudi wanaweza kutumia excuse ya Sheria za nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kidini kuelezea nini kile Westerners wanachokiita ukosefu wa demokrasia.Hivi excuse ya Mugabe inaweza kuwa ipi?
IS DEMOCRACY A UNIVERSAL PHENOMENON OR IS IT COUNTRY-SPECIFIC?
..ndugu zangu waislam haya ndioo mnayoamini au?....
The testimony of a woman is not regarded as fact but as presumption. The reasons women are forbidden to testify in proceedings are (quote):[7] [8]
1. Women are much more emotional than men and will, as a result of their emotions, distort their testimony.
2. Women do not participate in public life, so they will not be capable of understanding what they observe.
3. Women are dominated completely by men, who by the grace of God are deemed superior; therefore, women will give testimony according to what the last man told them.
4. Women are forgetful, and their testimony cannot be considered reliable
i rather watch british media than US media !
point blank !!
Saudi wanaweza kutumia excuse ya Sheria za nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kidini kuelezea nini kile Westerners wanachokiita ukosefu wa demokrasia.Hivi excuse ya Mugabe inaweza kuwa ipi?
IS DEMOCRACY A UNIVERSAL PHENOMENON OR IS IT COUNTRY-SPECIFIC?
Katika kuendelea kuonyesha UNAFIKI WA WAINGEREZA HEBU TAZAMA HII
Jamani kama hawa Waingereza wanatu-lecture ni pale ambapo wanahisi fedha wanazotupa hatuzifikishi kwa wananchi.
Kumchangamkia Msaudi na kumchunia Mugabe ni kitu safi tu bila double standards. Mugabe kitu alichowafanyia wananchi wake sio chema kabisa wacha wamng'akie.
Kule Saudi hakuna masikini kule, wananchi wa Saudi wana msosi wa kutosha, wanatibiwa wakiugua, sio Zimbabwe lunch peke yake matajiri tu ndio wanaoweza kulipia niliona picha moja jamaa lunch break anaenda na gunia la fedha.
Jamani utu kwanza demokrasia mbele kwa mbele.
Please refer to my first thread and read it carefully na zaidi maneno ya Gordon BROWN KUHUSU DEMOCRATIZATION