Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, Zitto alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa....
_harakati za huyu dogo sishabikii hata kidogo maana najua hafiki mbali
Jamani kweli chuki inapofua hoja ya Pesa za uswizi si ya zitto tena ni ya binge zima lilipitisha na mkutano ujao wabunge wanasubiri majibu ya utekelezaji wa azimio la bunge jamani acheni chuki binafsi mnatuchosha kufafanua the obvious
Lakini huyu Wistonmogha si ni wa ACT huyu au naota. Japo huo uACT si hoja, lakin kajichomekaje ktk hili? Nani yupo nyuma yake? Kwann yeye anaonekana ndo mratibu wa hii kitu maana ratiba yote anaijua mpaka maudhui? Msaada kwenye tuta