Brigitte’s Inn in Kigamboni

Brigitte’s Inn in Kigamboni

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
2,176
Reaction score
6,188
Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto unaweza Ukalipia kwa Mpesa , tigo pesa, Card au Cash. Unaweza kufanya booking kwenye number hii ;

0710120011.

Bei zetu ziko kwenye tovuti yetu hapo chini.

Au unaweza kutembelea Account yetu ya Instagram hapo chini.

Asanteni na Karibuni sana.
 
Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto. Bei zake Ni nzuri unaweza ukafanya booking kwenye number hii
0710120011.
Weka tu picha tujionee
 
Kigamboni sehemu gani? Hamna insta account tuone mapicha?
 
Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto. Bei zake Ni nzuri unaweza ukafanya booking kwenye number hii
0710120011.
Bei nzuri ni bei gani ???

Wabongo bana.

Ndio maana wabongo ni ngumu kupanga budget, maana unaenda kutembea sehemu ambayo pricing yake huijui.

Ni eithet udhalilike au utembee na hela nyingi. Ni full kubahatisha bahatisha tu
 
Kigamboni sehemu gani? Picha? Gharama zipoje?

Likamilishe tangazo mkuu
 
Hiyo sehem huwa wanapenda kwenda wanafunzi wa St Anne Marie,
Ni nzuri kwa kweli.
 
N
Bei nzuri ni bei gani ???

Wabongo bana.

Ndio maana wabongo ni ngumu kupanga budget, maana unaenda kutembea sehemu ambayo pricing yake huijui.

Ni eithet udhalilike au utembee na hela nyingi. Ni full kubahatisha bahatisha tu
Naona bei ziko powa maana wanaanzia dola 100 na kuendelea
 
N
Bei nzuri ni bei gani ???

Wabongo bana.

Ndio maana wabongo ni ngumu kupanga budget, maana unaenda kutembea sehemu ambayo pricing yake huijui.

Ni eithet udhalilike au utembee na hela nyingi. Ni full kubahatisha bahatisha tu
Naona bei ziko powa maana wanaanzia dola 100 na kuendelea
 
Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto unaweza Ukalipia kwa Mpesa , tigo pesa, Card au Cash. Unaweza kufanya booking kwenye number hii ;

0710120011.

Bei zetu ziko kwenye tovuti yetu hapo chini.

Au unaweza kutembelea Account yetu ya Instagram hapo chini.

Asanteni na Karibuni sana.
Bei zipo kwenye website...pumba.fu kabisa.
 
weka picha mkuu
 
Back
Top Bottom