Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Sawasawa 😂😂
Mechi tano bila ushindi Mmerud kwny default settings sasa
Brighton Wana majeruhi wengi Sana Halafu wapo na Europa
Kikos Chao Ni Cha €35m tu
Ni aibu una kikos cha €500m unataka kushindana misuli na Brighton mwenye kikos Cha €35mTulia dawa iingie, kulia utalia chumbani
Ni aibu una kikos cha €500m unataka kushindana misuli na Brighton mwenye kikos Cha €35m
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]MATCHDAY. FORZA ALBION!!!
View attachment 2829133