Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,731
- 14,268
Jana Brentford ulikuwa mfupa mgumu
Hadi sasa umekaa kinyongeHuu Uzi Hauna maisha marefu [emoji23]
"Premier League Champions.You will never walk alone
impossibleHuu uzi inabidi uwe pinned... Mabingwa wa EPL 2025/26.
Wapo kama dortmund,benfica,porto,sociadadTimu nzuri hii kwa kuibua vipaji.
Kweli kabisaWapo kama dortmund,benfica,porto,sociadad
Rudi man uSi ni timu kama timu nyingine? Timu ndogo mafanikio yao ndani ya msimu siyo makombe, kubaki ligi kuu na kushiriki michuano ya Ulaya ni mafanikio makubwa sana ndani ya msimu, makombe yakija basi haijalishi udogo wa mashindano: kombe litashangiliwa ipasavyo.
#BHA #Seagulls 🔵⚪️