willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,328
Matapeli hao kaka! Pa ukweli ni Tayoa tu,zoom siku hizi washakua wezi tu na wao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzeebaba profile wanabuild vipi? May be tunaichukia bm sababu hatuijui vizuriTayoa uchafu mtupu! Huko brighermonday sisi tumekamata kazi! TatiZo mnashindwa ku build profile zenu kule ndiyo maana mnakimbilia tayoa mnakotuna ma cv na mabarua kwenye email! 🤣🤣🤣
Hebu waelekeze basi how to build profile huko,brighermonday!! Tayoa wanatoa tangazo,wanakupa na address na ofisi inafanya kazi gani,but huko BM wanakuambia tu,a reputable company!!Tayoa uchafu mtupu! Huko brighermonday sisi tumekamata kazi! TatiZo mnashindwa ku build profile zenu kule ndiyo maana mnakimbilia tayoa mnakotuna ma cv na mabarua kwenye email! 🤣🤣🤣
Hahahaha our reputable clientHebu waelekeze basi how to build profile huko,brighermonday!! Tayoa wanatoa tangazo,wanakupa na address na ofisi inafanya kazi gani,but huko BM wanakuambia tu,a reputable company!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa mmoja wa hao mafisadi wa BM, Ishu sio ku build profile yako, ishu ipo kuona zile notifications baada ya kuomba kazi,wanakuambia upgrade account kutoka basic to premier job seeker ambayo unatakiwa ulipie Tsh 30,000 per month kama c utapeli ni nini,Tayoa uchafu mtupu! Huko brighermonday sisi tumekamata kazi! TatiZo mnashindwa ku build profile enu kule ndiyo maana mnakimbilia tayoa mnakotuna ma cv na mabarua kwenye email! 🤣🤣🤣
Ni ndugu moja na zoom ndy, me niliwahigi kutoa 30k nime apply kazi kama chizi na naona kbs nakizi vigezo lkn sijawahi itwa hata kwa bahati mbaya....naanzaje kutoa tena elfu 30 mwezi mwingine.Halafu km kweli wanatoa ajira...mbona wahaweki contacts za waajiri km vile Zoom Tanzania wanavyofanya hapo zaman? naona watakuwa washaungana na Zoom Tanzania pia maana hata huko ni matngazo ya Brighter Monday tuuu.
Hawa jamaa kweli wana elements za utapeli,Serikali iingilie kati hawa jamaa yani unatafuta ajira wanakuomba pesa sijui uwe na premium account ndo mwajiri aweze kuangalia application yako.
Sent using Jamii Forums mobile app