Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 186
- 393
Mzuka Wana Jamvi!
Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.
Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.
😅🤣😂😅🤣😂🤣😂
adriz de Mafwele
Ramaphosa na wenzake hamna kitu 🤣🤣🤣🤣
BRICS ni cowards tu. Hakuna wa kumsaidia mwenzake mle.Mzuka Wana Jamvi!
Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.
Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.
😅🤣😂😅🤣😂🤣😂
adriz de Mafwele
Maana tunasema mambo mengine yanahitaji kuona mbele sana.Hawana War pact. Kuna vitu inabidi tu kuvielewa. ILE SIO JUMUIYA YA KIJESHI, ni jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi, tofauti na namna ilivyo NATO.
Utawala wa Ayatollah umekalia kuti kavu.Uongozi wa Iran kupndoka soon.
Fahamu kwamba zipo njia na mbinu nyingi za kuondoa tawala mbovu.
Huyu ayatollah wa mwanzo, Khomeini,alishafariki kabla hujazaliwa
Waisaidie sasa kiuchumi. Kwasababu uchumi wa Iran hoi. Mbona Euro zone waliisaidia Ugiriki, Spain na Ireland?Hawana War pact. Kuna vitu inabidi tu kuvielewa. ILE SIO JUMUIYA YA KIJESHI, ni jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi, tofauti na namna ilivyo NATO.