Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
kufuatia Ripoti ya Wachina Kariakoo , lakini pia mikoa mingine, inahitajika hatua zifuatazo zichukuliwe na Serikali :
- Mawakili pekee ndio wapewe access ya kufungua na kufunga kampuni.
- Mawakilo wapewe jukumu la lazma kudhibitisha beneficial owner.
- Mawakili wanaposajili kampuni, share holders lazma wajue, kinachofanyika mchina anachukua NIDA ya dada wa kazi toka Buza anambiwa kwajili ya mkataba wa ajira lakini ukweli yeye ndio director, hivyo waliopewa share walipwe.
- Ukaguzi huu ussishie kwenye kampuni za wachina, ila makampuni mengi lakini wamenunua hata ardhi kwa majina ya wazawa bila hata wazawa kujua kama. info zao zimetumika huko Ardhi na TRA.