Namshangaa badala alete kazi tuone anaishia kibwabwaja tu. Hata mada hajui inahusu nini, sisi tunajadili kupeana ujuzi yeye anatuambia mambo ya sijui freelancers na kuajiriwa na reputable institutions, kwani freelancer sio designer!
Mwisho, kuliko kujaribu kumsaidia mtu huyu ni afadhali kumpigia mbuzi gita. Anyway twende naye mpaka kieleweke.
Pole na majukumu mkuu