Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
asante sana.pamoja mkuu.Nimekuongezea viewers na like yangu support tosha.
asante kwa pongezi upio.najifunza.Breathtaking kweli... Kudos!
thanks mkuu.Good job!
Kamanda we noma sana aisee, yaaani ni video kali sana. Hebu tafadhali naomba uniambie kwa lugha nyepesi pre compose ni mini , na nini faida take.
hahahah lukansola najua unajua ila tu umeamua kuuliza ili jibu liweze kutoa maarifa kwa mtu mwenye nia ya kujifunza AE.
pre composed layer ndani AE ni nini.
kwa uelewa wangu mdogo,pre composed layer ni muunganiko wa layer zaidi moja ktk composition moja.ni jina tu lipo tofauti, lakini kwa watumiaji wa PS na illustrator,hufahamika kama "grouping",kwa watumiaji wa premiere pro hufahamika kama "nesting",kwa watumiaji wa sony vegas na final cut hufahamika kama pre render.
kama sipo sahihi,mwengine anaweza fafanua zaidi.
Asante mzee Adobe After Effects, unajua nilikuwa naionea uvivu hii pre comp, labda na jina nalo lilikuwa linaniogopesha. ila sasa nimegundua pre-comps ni bomba sana, kwanza zinarahishisha kazi kwa kupunguza complications kwenye composition moja, pia ukisha pre compose layers na kuziweka kwenye composition nyingine unapofanya marekebisho kwenye original layers basi na huku ulikoituma ina update automaticall, nimejifunza kitu kipya halafu kizuri.
Je nimeeleza vizuri mzee Adobe?
Nina swali lingine, hivi nawezaje kukopi effects zote pamoja na keyframes kutoka kwenye footage moja kwenda nyingine, nimefanya composition sasa nataka effects zote zijirudie kwenye footage zinazofuata.
Asanteni...
Nimeangalia tena hiyo project yako ya na fid q ni balaa mkuu Adobe After Effects