Breath Taking Mtindo wa Usukaji Nywele

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Mama huyu wa Australia Shelley Gifford anamremba binti yake Grace kila siku, angalia mitindo wa usukaji nywele haya.










Sasa kazi kuu ya mama Shelley ni kusuka nywele za watoto, zaidi ya hayo yeye pia anafanya kazi ya charity. Alisema hasikii boring katika kusuka nywele na kila mara alipotoa design mpya atakuwa excited sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…