Pole mkuu...
Hii story inafanana na stori ya ndugu na rafiki kwangu...
Okay... Girls always they think best thing is to return to their first crush. ..
Vijana especially wa kiume mimi nilikuwa naomba kile kikao chetu kiendelee, Mara nyingi tambua kuwa baadhi ya wasichana ambao waliachwa na waliowahi kuwa wapenzi wao mara nyingi hurudi kwenye nyumba waliyotokea(X) na husahau kila kitu walichowahi kuumizwa au kuumia nacho....
Mkuu, kuwa mtulivu na ikubali hiyo hali, ji keep busy baada ya mwezi au siku kadhaa utajikuta una msahau .... Usijali huwenda umeandaliwa aliyebora zaidi ya huyo....
Always God gives us what we deserve and not what we need.....