Breaking nyuzi;unaitaji ajira nitumie cv yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking nyuzi;unaitaji ajira nitumie cv yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  KWA BABU KUNAPATIKANA AJIRA KIBAO.UONGOZI WA KKT MKOA UMENTEUA KUTATUA TATIZO LA AJIRA LINALOWAKUMBA WATANZANIA KWA KUFANYA USAILI WA WATAKAOITAJI KAZI ZIFUATAZO

  ==KUOSHA VIKOMBE

  ==KUOKOTA KUNI

  ==KUCHOCHEA KUNI

  ==KUCHOCHEA MOTO

  ==MABAUNSA

  WATU WASIVURUGE FOLEN..KAMA UNAITAJI AJIRA TAFADHALI NITUMIE CV YAKO NOWNOW TO

  denismandia@yahoo.com

  masharti kuzingatiwa
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha kaziiii kweli kweli
   
 3. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ya ukeshia haipo?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  uwezi amini na uzee wake yule babu kesh anaweka mwenyewe kanunuliwa fuko majuzi..yale mnayoyaona wanabebea mizigo toka zanzibari..ama comoro..mmh uko utaniaribia wakala wangu..sitk kufika..ongea na KKKT tenda nje nje ila nimemwona kama mdogo wake laizer pemben ya fuko sijui kamawataitangaza hiyo tender ....
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Mie naona ungeanza na wale ndugu zako kwanza
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Naona hiyo ni sehemu ya zile ajira milioni 1 alizoahidi mhe. 2005! Kidumu Chama!
   
 7. Kibaraka

  Kibaraka JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UDALALI vipi?
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nakupm sasa hv cv yangu
   
 9. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dah nadhan zile ajira million moja za ccm zitakuwepo hapa, japo ziliota mbawa muda mrefu sana
   
 10. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nataka kuwa mtunza fedha wa babu!
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Naamini atakayeajiriwa atapata na bonus ya kunywa dawa haraka bila kufuata foleni
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  we unaambiwa ma polisi wote waliopelekwa wamekunywa maji mpaka na mahawara zao agalabu sijui kama zitafanya kazi na masharti ya babu.ila kwa hela m sipo uko..m nimepewa ktafuta ajira jamani mnavyopenda kuvunja mkataba amchelewi kunivunjia na KKKT tupelekane ICC..wacha nifanye kazi ya Bwana tafadhali tuma kabla ya saa moja jioni

  Masharti na Vigezo kuzingatiwa
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  Ujazoma gazeti
  chiligati kadai dawa ya babu ni moja ya ilani za ccm wakati wa mchakato 2010/2015
  jamani waakati babu chadema pure na mkewe ndugu mkubwa wa mh ndesambare
  sasa sijui wanasemaje..mbona dk ndodi awasemu ilani la ccm??
   
Loading...