Mtoa uzi kaweka utani wake wa utani
kwa ubunifu wake
halafu kwa raha zake.
Wengine wanaingia jukwaa la utani
Wamesahau kuwa wamo kwenye jukwaa la utani
wamekunja sura zao
kwa stress zao
tena kwa raha zao
Wanamtukana mwenzao.
Naamini huo mnauofanya ni utani tu
kama ule wa Johnwalker Pombe Mbaya.