So sad news jamani. Mungu awajalie tumaini la moyo wafiwa. Kuna mama mmoja mchina juzi alikaririwa na BBC akiwa na matumaini kuwa muwewe hajafa na anategemea kuona akimpigia simu, "I will be very very happy to see his name appearing in my phone....".Alikuwa anaongea kama amechanganyikiwa hivi.