BREAKING NEWZ
Mwanafunzi mmoja wa
university of dar es salaam, mwaka wa kwanza,
aliyechaguliwa kujiunga na college ya coet,
aliyetokea mikoa ya kusini aliporipoti chuoni
Leo trh 15 Nov, 2014, sasa alipokua anatokea
nkurumah kwenda yombo wakati wa kuvuka barabara kuu ya kutokea ubungo kwenda mwenge alikutana na rafiki yake aliyemaliza nae shule moja wakasalimiana
kisha akavuka zake akaenda yombo
ulifikiri amekufa au kapata ajali? ushindwe.