Breaking news!

Bora wajikite ofa tu. Mambo ya kuchanganya na kubusu jezi si ya kiuanamichezo. Inaonekana kama kuna kukomoana
 
na hapo anapelekwa simba na dogo ndio sijui atakaa maana sijui kila la kheli mrisho ngasa..
 
Bora wajikite katika kigezo cha ofa tu. Mambo ya kuchanganya na kubusu jezi si ya kiuanamichezo. Inaonekana kama kuna kukomoana
 
Halafu Simba baadaye waseme Ngasa anawahujumu kwa sababu ni Yanga damu! hizi timu za Bongo upuuzi mtupu.
 
Simba wametoa ofa hiyo au Yusuph Bakhresa kaamua kumpeleka Simba kama Marehemu Mafisango na ndio ilikuwa nia yake toka mwanzo ilo ndio soka la bongo mara tunamuuza dola $70 elfu sasa ofa ya simba milion 25 wanaeleweka kweli au ndio kuwatia presha Yanga wafike bei?
 
Kwani Ngassa kubusu jezi ya Yanga kuna kosa gani? Binafsi nahisi maamuzi ya Azam yamechanganyika na hasira ya kukosa kombe.
Fine mnampeleka Simba, je yeye kama Ngassa ameridhia?
 
Huyo ngasa kama anataka kushinda makombe aje yanga asiangalie pesa tu aangalie team gani itampa medals na jibu ni yanga
 
Raha zimeanza lini Yanga?? Si juzi mlikuwa mnaitisha press conference kila baada ya dk 5 pale jangwani, maelezo nk.. Ngassa ameikosea Azam kwa kitendo kile.. Wote tunajua Rooney ni shabiki na mpenzi wa Everton lkn yuko Man Utd na anafanya kazi yake vizuri na ipasavyo.. Kwanini alete ujinga kocha Hall anasema Ngassa hajitumi mazoezini haonyeshi kama anataka kucheza ndo maana huwa anaanzia kutoka benchi.. Mtu unakula mshahara 1.5m afu unaleta (Tusi) je mchezaji gani mzalendo anakula hela hilo kila mwezi? Tuheshimu kazi zetu jamani. Kama vp Aje Simba atanyooka 2! Akizingua anakula mikwaju Azam si wanamuonea aibu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ushuzi mtupu,unavyoiona Yanga unafikiri itashindwa ku'cover hiyo gap iliyoko baina ya offer ya Simba na Yanga,unafikiri sisi tunategemea rambirambi kuongeza mfuko wa kusajili?
Hata mimi binfsi naweza ku'cover hiyo difference,millioni 6 kitu gani?,Ngassa hachezi Simba ng'o...kwanza Simba wenyewe licha ya kumtamani hawawezi kumsajili.
 
Yanga msimu ujao tunaweka Historia
 
Ushuzi mtupu,unavyoiona Yanga unafikiri itashindwa ku'cover hiyo gap iliyoko baina ya offer ya Simba na Yanga,unafikiri sisi tunategemea rambirambi kuongeza mfuko wa kusajili?
Hata mimi binfsi naweza ku'cover hiyo difference,millioni 6 kitu gani?,Ngassa hachezi Simba ng'o...kwanza Simba wenyewe licha ya kumtamani hawawezi kumsajili.
Wewe mbona unatuchanganya, sredi nyingine unasema Simba wamemsajili huku unasema Simba hawawezi kumsajili, so which is which?
 
Mkuu naombanifute kauli yangu,unajua nilisahau kabisa kuwa Godfrey Nyange Kaburu(Kiongozi wa harakati za usajili za Simba) ana akili pungufu kidogo ya akili zile za kawaida za Mwanadamu timilifu,wakati mwenye akili yeyote timamu asingeweza kufanya hivyo lkn yeye aki'collude na Viongozi wa team yao nyingine ya Azam wamelitekeleza hilo katika kile kinachoonyesha kutaka kumkomoa Ngassa,sasa tayari Ngassa ameshaukana uhamisho huo ya kwamba yeye hajashirikishwa...embu tusubiri tuone sakata hili litaishia wapi.
 
Hizi timu zinatuchosha sasa, mimi nataka niwekeze nguvu zangu za kushabikia kwenye timu yangu ya zamani ya Pamba wana Lindanda bila kujali iko daraja la ngapi.

Back to the topic; Hapa mimi naona pande zote tatu zina makosa, Ngasa kuwaprovoke Azam kwa kubusu logo ya Yanga hadharani, Azam nao kukubali kirahisi kuwa provoked na kuchukua maamuzi haraka ya kumuuza kama wanavyouza ice cream, Kaburu nasema tena Kaburu na sio Simba kukubali kuuziwa mchezaji kwa ajili ya kumpeleka Simba bila kuongea naye.
 
Nakubaliana na wewe 1 kwa 1, kwa akili ya Kaburu pale mwenyewe anaona kapiga boonge la bao,si ajabu kwake anaona it's a good revenge to Yondani issue,bila kujali Club yake itanufaika na hiyo anayoiona kama revenge au la....Ngassa atacheza Simba?
 
Kwani Ngassa kubusu jezi ya Yanga kuna kosa gani? Binafsi nahisi maamuzi ya Azam yamechanganyika na hasira ya kukosa kombe.
Fine mnampeleka Simba, je yeye kama Ngassa ameridhia?

Angalia na kufungua macho kuna kosa hapo. Alichofanya ngasa si uuungwana na niutovu wa nidhamu
 
Nakubaliana na wewe 1 kwa 1, kwa akili ya Kaburu pale mwenyewe anaona kapiga boonge la bao,si ajabu kwake anaona it's a good revenge to Yondani issue,bila kujali Club yake itanufaika na hiyo anayoiona kama revenge au la....Ngassa atacheza Simba?

Na wewe acha unazi. Kocha ndo anamtaka Ngasa, na kwa taarifa yako Simba walishapeleka maombi hata kabla ya Kombe la Kagame wakaambiwa Ngasa hauzwi, kwa hiyo nafasi ilipotokea kina Kaburu wakaitumia tu. Jamani Simba ina watu kibao.. Yanga inawauma sana Ngasa kwenda Simba ila Kaseja aliposaini Yanga sikumbuki kama watu walisema viongozi wa Yanga wanakurupuka??! Ngasa mchezaji Mzuri wa kitanzania, mkubali mkatae!
 
Ushuzi mtupu,unavyoiona Yanga unafikiri itashindwa ku'cover hiyo gap iliyoko baina ya offer ya Simba na Yanga,unafikiri sisi tunategemea rambirambi kuongeza mfuko wa kusajili?
Hata mimi binfsi naweza ku'cover hiyo difference,millioni 6 kitu gani?,Ngassa hachezi Simba ng'o...kwanza Simba wenyewe licha ya kumtamani hawawezi kumsajili.

Nakusalimu 2 kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom