we nae,toka umempata huyo mhaya wako nitts naona umechanganyikiwa,au shauri ya 'kalufundi ka kwetu'?Unataka uje unisindikize wewe? Afu uache kufuatilia mambo ya watu manake hayakuhusu!
Mbona mie sikuulizi kama utamsindikiza yule mke wa jirani yako uliyefumaniwa nae majuzi ukasusiwa?
Hahahaha!sweetlady,inamhuuu gambachovu,si unaona alivyohamaki?
Subiri nitafute mkalimani aje anitafsirie maana ya ulichoandika afu ndio ntakujibu!..we nae,toka umempata huyo mhaya wako nitts naona umechanganyikiwa,au shauri ya 'kalufundi ka kwetu'?
Rejao kwani ni mwanaume? Hehuyu Rejao atakufa mwaka huu,chama kinapukutika na ndoa yake imemwagika!