Breaking news

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
43,995
Reaction score
110,390
Rais Mugabe aachia ngazi

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.

Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
MKEWE ASHASEMA YY NDIYE RAISI KWA SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
MKEWE ASHASEMA YY NDIYE RAISI KWA SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeamua kujikausha eehhh....
 
Reactions: BAK
Kijiti cha wapi.umetumia.[emoji56]
Ndio nimetoka kuamka baada ya ugali wa mchana.......
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umetisha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Breaking newz niliisoma kichwa kichwa nimekuja kushtuka mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…