Breaking news! TCU yavamiwa na wezi!

Breaking news! TCU yavamiwa na wezi!

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
876
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania yavamiwa na wezi na kuiba baadhi ya mali huku wakiwa wamemlewesha mlinzi getini Ili kufanikisha kuingia ndani.

source: ITV
 
Walinzi wetu warevi!! atakuwa alifakamia mwenyewe huyo!
 
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania yavamiwa na wezi na kuiba baadhi ya mali huku wakiwa wamemlewesha mlinzi getini Ili kufanikisha kuingia ndani.

source: ITV
Kila mwaka??!
Something wrong somewhere !!!
 
Wangewaiba hadi hao Wakurugenzi....hahahaaaa eti Breaking News: Wakurugenzi na Watendaji wa TCU waibwa....
 
Mlinzi unamlipa 80000 mali anayo linda mabilioni unategemea nini
 
Hiyo tume nayo imulikwekutakuwa na magumashi wanayoyafanya, si mwaka jana hivo hivo wameibiwa komputa karibia zote sasa eti na mwaka huu tena kumetokea wizi tena. Hapo kuna shida inayohitaji ufumbuzi na kama wakikawia utasikia jengo zima linawaka moto siku moja. Wakae chini wamalize matatizo yao wenyewe na kama wameshindwa waaache kupiga mayowe
 
Kila mwaka??!
Something wrong somewhere !!!

Wana Jamvi kama kuna mhusika serikalini, hasa ofisi ya Raisi, Idara kuu ya Utumishi wa umma.

Jamani ianzishwe AGENCY ya ULINZI Ambayo itakuwa chini ya Wizara ya mambo ya ndani. Taasisi zote za umma zilindwe na hiyo taasisi. WALINZI wawe na vyeo, malupulupu, wakasome, wawe na elimu hadi chuo kikuu,wapewe nyenzo kulinda Mali ya umma, please!!!

Hii kitu ya private participation imeshindwaaaaaaaaaaa serikali inaibiwa sana. Taasisi zinalipa hela nyingi lakini zinaletewa wachunga ng'ombe, Housegirl, wanandugu...... whatever kulindwa na WANAOlipwa 80,000/=,


 
Haiwezekani kila mwaka! Kuna mgongano wa maslahi. Muda si mrefu tutasikia jengo au ofisi fulani nyeti imeungua ili kuficha magumashi.
 
Back
Top Bottom