uko marekani? nitumie raba mtoni arifuHapana chezea USA bana.
uko marekani? nitumie raba mtoni arifu
Wakati sisi watz tunahangahika kupata huduma muhimu za kijamii, kama vile: umeme wa uhakika, maji, msosi, barabara, n.k. Wenzetu Wamarekani wanaangalia uwezekano wa kuhamia sayari zingine kama Mars. Kazi ipo!
Nike Airmax, Adidas, Reebok, au K-Swiss? Au wewe ni mtu wa Supra?
Umesahau na rangi. lazima ulizwe, njano kijani kijivu nyeupe nyeusi au kahawiyaKwetu uswahilini, hizi ni dalili za kukataa kunipatia mdundo, hapo hujauliza size au achore kwenye karatasi aukutumie