Inasemekana wafanyakazi wameokolewa
aiss!ngoja nikajichotee maji ya kutosha ya chai!gharama yangu majani ya chai tu!
mwenyezi mungu akubali!Akili imekaa kama akina mama wa Ccm ambao wapo bunge la katiba.
mwenyezi mungu akubali!
AShukuriwe Mola watu wamepona, hiyo sukari wacha izame tu, watapata nyingine.