Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahaha uunamfichia aibu!!.Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!
Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.
I LOVE U SO MUCH Arushaone
Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo
hahaha uunamfichia aibu!!.
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!

mh hili nalo neno.
Lady doctor naona umeamua kuwa al saaf,unamkumbuka al saaf ? Mibomu inalia baghdad yeye anasema mmarekani hawezi kukanyaga hapa........mficha maradhi?
umbea!!!!!
hata kwa yaliyosemwa?
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!
Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.
I LOVE U SO MUCH Arushaone
Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo
....wewe wasema...afu shakujua wewe!!
....wewe wasema...afu shakujua wewe!!
Yale yaleeeeeeeeee