Breaking News: BBC Director General George Entwistle resigns!

Breaking News: BBC Director General George Entwistle resigns!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
The BBC's Director-General George Entwistle resigned after the broadcaster's flagship news programme wrongly implicated a British politician in child sex abuse.

"I have decided that the honourable thing to do is to step down," Entwistle said in a televised statement outside the BBC's London headquarters
 
na jana mkuu wa CIA Petreaus alijiuzulu. je kwetu TZ kwa nn wanafanya maovu makubwa lkn hawajiuzulu?
 
Amekuwa akishutumiwa kwa namna alivyoshughulikia taarifa iliyopeperushwa katika kipindi cha Newsnight.
Taarifa hiyo kwa makosa ilimshutumu aliyekuwa Waziri wa Fedha wakati wa serikali ya Conservative , Lord McAlpine, kwamba alihusika katika kashfa ya kudhalilisha watoto.
Tayari shirika la BBC limekuwa likichunguzwa vikali katika kashfa inayomhusu mtangazaji wake wa zamani Jimmy Savile kwa madai ya kuwadhalilisha watoto.

habari zaidi: BBC Swahili - Habari - Mkurugenzi Mkuu wa BBC ajiuzulu
 
ingekua hapa kwetu wangeunda tume kuchunguza hayo madai kwanza.....
 
Sisi kwetu huyo mkurugenzi wa CIA wala asingefanywa chochote maana kwenye katiba hakuna sehemu inayosema kuwa ukikutwa umezini na mke ama mume wa mwenzio ni kosa la kukufukuzisha kazi.Na hii ingekuwepo nadhani nchi hii kila siku tungekuwa tunatangaza kazi mpya kwenye magazeti for sure.Maana ofisi nyingi zimejaa usodoma na gomola na wala watu hawaogopi tena, bora dawa ya kunatana iuzwe hazarani kila mwananchi apewe bure kama ARV kwa waathirika. Na kuhusiana na huyo director wa BBC angepewa kalipio kama la wale wabunge wa kamati ya nishati na madini halafu mambo yangesonga mbele kama hakuna kilichotokea.I love Tanzania and I will die for Tanzania
 
Obama alivyoshinda tuu Nape alikurupuka na kuja mbio ..!ila kwa ishu kama hizi anakuwa anazisoma kama guest member tuu!
 
Back
Top Bottom