Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".
hahaaaaaaaaa hili jamvi sio la CHADEMA peke yao kuna CUF,NCCR,nk so acha tu kila mtu ajiachie cha muhimu ni kushindana na hoja zao hao
Waache watoe mawazo yao maana si bure wana kazi nzito ( possibly wamelipwa) ya ku repair image ya RA,serikali na chama tawala kwa wananchi.Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".
Mfa maji haachi kutapatapa. Waache hao ndumira kuwili wajifurahishe tu, watanzania wamekwisha amka, hawadanganyiki tena.Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
Kupingana na nguvu ya umma sawasawa na kuzuia mafuriko na mikono!After all hawa wanaopinga wapo hapa kwenye keyboard...wakati cdm wako site, wanaongea na watu, wanawasikiliza, na kutembea nao kwa miguu kupinga dhulma!
So tutaona nani ni nani!
kuna tatizo la terminology kumbe... asante kwa kuweka sawaWanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".
Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".