Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,882
Mtu mmoja alieuawa hv juzi na wanafunzi katika hostel za mabibo za chuo kikuu UDSM anazikwa leo mjini songea.
Kwa mujibu wa mtoa habari ambaye alisoma na marehemu ,marehemu alishawah kugigwa risasi kwa wizi, pia aliwahi kuwa mwanajesh na kufukuzwa.