Breaking news:ajari mbaya shinyanga

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Dereva tax anayejulikana kwa Jina la HIJA MAGOMA,Amemgonga mfanya biashara maarufu kama muuza genge,baada ya kufanya ajari hy ikasadikika dereva hyo wa tax no T901ANL alikua amelewa.Sasa wakati wananchi wanataka kumuadhibu kwa uzembe huo mala gari la police likafika na kumchukua,Wkati police wakitaka kumpeleka ki2oni jamaa akawa mkaidi police wakawa wanamuadhibu.basi wakaondoka nae kwa mwendo wa kasi.Wakati nipo kwenye eneo la tukio mala 2nackia yule dereva tax aliekua akipelekwa police kajirusha kutoka kwenye gari la police No PT 1805 na kufa papo hapo.Jamani ngoja nitaendelea kuwapa taarifa maana cm inakwsha moto
 
Kama ameua kwa uzembe hawakuwa na sababu ya kumpeleka kituoni, ilikuwa waruhusu tu wananchi wamuue
 
Dereva tax anayejulikana kwa Jina la HIJA MAGOMA,Amemgonga mfanya biashara maarufu kama muuza genge,baada ya kufanya ajari hy ikasadikika dereva hyo wa tax no T901ANL alikua amelewa.Sasa wakati wananchi wanataka kumuadhibu kwa uzembe huo mala gari la police likafika na kumchukua,Wkati police wakitaka kumpeleka ki2oni jamaa akawa mkaidi police wakawa wanamuadhibu.basi wakaondoka nae kwa mwendo wa kasi.Wakati nipo kwenye eneo la tukio mala 2nackia yule dereva tax aliekua akipelekwa police kajirusha kutoka kwenye gari la police No PT 1805 na kufa papo hapo.Jamani ngoja nitaendelea kuwapa taarifa maana cm inakwsha moto
Nyerere alisema ukila nyama ya mtu unakuwa na hamu kila wakati kula nyama hiyo sasa polisi wamekula nyama ya watu kule arusha wamenogewa jamani tutakwisha sasa si wangemwacha kama wananchi wanamua wamue wamembeba kwenda kumua mlevi angeweza kuruka au wametupa wenyewe baada ya kumsachi mfukoni na kukomba pesa yale yale ya vijana wa mahenge
 
,,,Hio isha kua SOO,yaleyaleeeee!!!!,hawa mapolisi wanajua CUSTOMER CARE ya customers wao lakini au?????
 
Dereva tax anayejulikana kwa Jina la HIJA MAGOMA,Amemgonga mfanya biashara maarufu kama muuza genge,baada ya kufanya ajari hy ikasadikika dereva hyo wa tax no T901ANL alikua amelewa.Sasa wakati wananchi wanataka kumuadhibu kwa uzembe huo mala gari la police likafika na kumchukua,Wkati police wakitaka kumpeleka ki2oni jamaa akawa mkaidi police wakawa wanamuadhibu.basi wakaondoka nae kwa mwendo wa kasi.Wakati nipo kwenye eneo la tukio mala 2nackia yule dereva tax aliekua akipelekwa police kajirusha kutoka kwenye gari la police No PT 1805 na kufa papo hapo.Jamani ngoja nitaendelea kuwapa taarifa maana cm inakwsha moto

Shinyanga mitaa ipi kwani nasi huwa twaitembelea mikoa mingine twajua hata mitaaaa , eg imetokea ngokoro,buluba,mwasele,au njia ya kwenda Mwadui?

Huo ni uzembe mkubwa wa polisi, kwa nini wasimshikilie. Hii ndo polisi jamii.
Inawezekana walimuachia makusudi, na walijua amelewa. Ilibidi awe chini ya ulinzi mkali. Sasa ameacha familia. Inauma sana
 
asante kwa habari mwanana lakini hili sio jukwaa lake mkuu........peleka kunakohisika! Besides, waache wafu wawazike wafu wenzao.....
 
Hii habari kama ni kweli wala si njema kwa jeshi pa polisi. Haiwezekani mtu aliyelewa awashinde nguvu polisi na kuruka. Huu ni uzembe na kabla hatujaenda kwenye conclusion ya kuruka tujiulize polisi wamekuwa na tabia gani wanapo haribu?, kudanganya wananchi kuficha ukweli. Tuanzie ya Zombe et al, and recent Arusha saga. My first impression ni kwamba POLISI WALIMRUSHA HUYU MTUHUMIWA kwa kuwa alikuwa anawasumbua na wala hakuruka. The burden of proving otherwise rely on police propagandists.
 
ukisoma maoni ya wana JF kwenye hii thread utagundua ni kwa jinsi gani bado TZ tupo nyuma. Ni aibu tupu, hivi kweli TZ itakuja kuwa nchi au itabakia mdundiko tu hadi kiama! hakuna tofauti kati ya wasomi na wasiosoma, great thinkers na mazezeta. Kwa watu welevu msababisha ajali barabarani, anaeonekana kuchanganyikiwa hapelekwi kituo cha polisi au kupigwa na polisi au raia wema bali anapelekwa kwanza hospitali. Kuchanganyikia kunaweza kuwa ni shauri ya ulevi au magonjwa kama pressure kupanda na kuaribu ubongo (Stroke, Hypertensive encephalopathy), ugonjwa wa kisukari (Diabetic ketoacidosis, Hypoglycaemia), cerebral infections ( malaria, meningitis) nk nk. pia ajali inaweza kumfanya aumie kichwani na kuchanganyikiwa. Ni fikra duni mno na za kitoto ambazo ni aibu kubwa kwenye karne hii kumshambulia mtu aliyesababisha ajali na anaonekana kuchanganyikiwa bila kupata taarifa ya madaktari. Utajuaje Kama hakupata stroke au malaria kupanda kichwani au kati ya hayo niliyotaja hapo juu au gonjwa lingine lolote wakati anaendesha na kusababisha ashindwe ku control gari? Kama ilikuwa ni ulevu tu pia anatakiwa apimwe kiasi gani cha pombe kilichoko mwilini kwa sababu kuna kiasi ambacho dereva anaruhusiwa ambacho hakiathiri kuendesha gari. Poleni sana wabongo wenzangu, bongo zetu zimerogwa nafikiri mchawi ni CCM.
 
Nchi isiyo na sheria hii!, hapo Police lazima wachukuliwe hatua pia!maana mlevi ni lazima angeangaliwa kwa hali ya juu ili afikishwe mahakamani kujibu shitaka lake wakati akiwa sober. Anyway RIP!
 
Kwa vyovyote vile Jeshi la polisi ni wazembe kuzidi hata uzembe wenyewe. Ni aibu mlevi kuwazidi polisi nguvu na maarifa.

Na kama ndivyo tuwatimue askari wetu tuajiri walevi maana wanaonekana wana nguvu, mbinu na maarifa kuliko polisi. Tena tumtafute mmoja anayekunywa gongo awe IGP.
 
Back
Top Bottom