donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
Heeeeee mungu mikononi mwako nauweka mwili wangu
Ndo nimeshangaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Unakata roho?
Piga ikiwa haina kijiko au imepungua.
Mbona meza tofauti?
Aisee ila hyo kwangu ni kama Breakslow....
Piga zako za mama yako mzazi mkuuTuwekee na picha ya mkeo,maana unapenda kujionesha sana,chapat za mamantilie tu unapiga picha
Karibu mkuuKesho naomba niwe mgeni wako
HahahAisee ila hyo kwangu ni kama Breakslow....
Hahaha mkuu hapana aiseehuyu atakuwa lazima anaenda kuzini tu,naona kama kuna juice ya tende kwa pembeni
Is that all you got bitch,unafkiri ukiongea hivo ndo ntajaa nyembe...hahah me nakuona boya tu we dogo tena limbukeniPiga zako za mama yako mzazi mkuu
Alikwambia location tofauti, au lugha aliyotumia "location" ni shida!!??Mbona meza tofauti?