avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,862 Reaction score 15,977 Jan 31, 2018 #21 Kwa ujazo huo akumbuke lita mbili za mafuta anaitia tumboni ...sasa madhara yanapoanza asije kusema amelogwa
Kwa ujazo huo akumbuke lita mbili za mafuta anaitia tumboni ...sasa madhara yanapoanza asije kusema amelogwa
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 1, 2018 #22 Castr said: Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana. Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani Click to expand... We utakuwa mvivu wa kufikiri bila shaka [emoji848][emoji848][emoji848]
Castr said: Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana. Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani Click to expand... We utakuwa mvivu wa kufikiri bila shaka [emoji848][emoji848][emoji848]
nyamchele JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,325 Reaction score 1,039 Feb 1, 2018 #23 Halafu anakula kwa toothpick......ni wa Dar huyo...[emoji2][emoji42][emoji16][emoji16].....si mwembeyanga hapooo. ... [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu anakula kwa toothpick......ni wa Dar huyo...[emoji2][emoji42][emoji16][emoji16].....si mwembeyanga hapooo. ... [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,283 Reaction score 79,653 Feb 1, 2018 #24 WAHEED SUDAY said: We utakuwa mvivu wa kufikiri bila shaka [emoji848][emoji848][emoji848] Click to expand... Umekunywa chai?
WAHEED SUDAY said: We utakuwa mvivu wa kufikiri bila shaka [emoji848][emoji848][emoji848] Click to expand... Umekunywa chai?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 1, 2018 #25 Castr said: Umekunywa chai? Click to expand... Yap
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,930 Reaction score 46,280 Feb 1, 2018 #26 dudupori said: Click to expand... Acha kusingizia wa mkoani. Hapo panaonekana wazi kuwa ni Dar na maji yenu ya Afya.
dudupori said: Click to expand... Acha kusingizia wa mkoani. Hapo panaonekana wazi kuwa ni Dar na maji yenu ya Afya.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Feb 2, 2018 #27 Hiyo sasa sifa