Tungekua wavivu wa kulima huko mjini si ndio mngekula mawe, unajifanya hujui kuwa asilimia 95% ya mnachokula huko mjini kinatoka shamba mkoani?Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana.
Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani
Tulia we mkinga, kama unahisi wewe ndiyo unailisha Dar kumbatia hayo mahindi yako basi halafu uoneTungekua wavivu wa kulima huko mjini si ndio mngekula mawe, unajifanya hujui kuwa asilimia 95% ya mnachokula huko mjini kinatoka shamba mkoani?
Unaonyesha ulivyo mvivu kufikiri...
Huyo jamaa ni hybrid ya baba wa dar na mama wa mkoani...
Ndo wametoa product ya hivyo
Mwakibofye vipi mbona unatoa maneno ya jikoni?Hahaaa povuuu la mla chipsi na miguu ya kuku tandale utalijua. Pole kijana
Ifi fiasi finalimwa sana Mbeya ila watu Wa Mbeya hatufili wanafila watu Wa Dar
Mkuu nilikua huko kwenu mbeya kijijini kidogo mwaka juzi tukaenda sehemu nikaagiza vyepe vya buku, hilo lundo lililokuja nusuru nikimbie karibia vingejaa sado.Ifi fiasi finalimwa sana Mbeya ila watu Wa Mbeya hatufili wanafila watu Wa Dar
Mkuu kule kwetu hakuna njaa, chakula kule tunakula popote sio mpaka nyumban kwakoMkuu nilikua huko kwenu mbeya kijijini kidogo mwaka juzi tukaenda sehemu nikaagiza vyepe vya buku, hilo lundo lililokuja nusuru nikimbie karibia vingejaa sado.
Mbeya nawakubali sana kwa kilimo mkuu
Muda wa ugali wapi wakati unatakiwa uwe shambani muda huuMchana umefika wahi sahani ya zege kijana, huku kwetu mda huu ni ugali wa mtama...