Breakfast ya kibongo bongo karibuni jamani...............

Kweli ni ya kibongobongo.

Sent from my Lumia phone using Tapatalk
 
Nipenda tu vilivyopo kwenye sahani...
 
nilijua ni kiporo na uji wa muhogo,
 
Vitumbuaaaa. Halafu vya uswazi ndo vitamu, za bakery wala!

I like 'em a bit crispy on the sides.
 
Mie muhogo sio mpenzi. Napenda viazi vitamu.

Mhh! Una visa wewe.
Si useme tu wewe mambo yako ni capuchino na spanish, corn flakes nk nk.

Hayo mambo ya viazi, vitumbua na kiporo cha ubwabwa tuachie sisi wa Tandika taa nyekundu
 
Mhh! Una visa wewe.
Si useme tu wewe mambo yako ni capuchino na spanish, corn flakes nk nk.

Hayo mambo ya viazi, vitumbua na kiporo cha ubwabwa tuachie sisi wa Tandika taa nyekundu

Acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…