Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #21 The Boss said: Mipango ya Ku wapiga chini waume zenu mmesitisha? Click to expand... Haaaaa Haaaaa π, nilikataa mkuu, hii kundi letu linaratibu sana kura ya Nato. Mmoja akisema no, hakuna anaejikuna
The Boss said: Mipango ya Ku wapiga chini waume zenu mmesitisha? Click to expand... Haaaaa Haaaaa π, nilikataa mkuu, hii kundi letu linaratibu sana kura ya Nato. Mmoja akisema no, hakuna anaejikuna
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #22 Castr said: Hivi na Ulaya watu wanakunywa vilevi vikali kwa karanga? Click to expand... Mimi sio zungu mzee na wala sipo ulaya
Castr said: Hivi na Ulaya watu wanakunywa vilevi vikali kwa karanga? Click to expand... Mimi sio zungu mzee na wala sipo ulaya
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,213 Reaction score 74,027 Aug 12, 2020 #23 Bushmamy said: Mimi sio zungu mzee na wala sipo ulaya Click to expand... Ngoja aje mtu atujibu. Hiyo Energy na hizo karanga zimeonyesha tupo wote bongo
Bushmamy said: Mimi sio zungu mzee na wala sipo ulaya Click to expand... Ngoja aje mtu atujibu. Hiyo Energy na hizo karanga zimeonyesha tupo wote bongo
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,213 Reaction score 74,027 Aug 12, 2020 #24 Anakata said: Hiyo pini ina uhusiano wowote na kinachoendelea hapo? Click to expand... Wewe umemaanisha pini kifaa. Bushmamy said: Bushmamy huyo Click to expand... Madame umeelewa pini mwanamke.
Anakata said: Hiyo pini ina uhusiano wowote na kinachoendelea hapo? Click to expand... Wewe umemaanisha pini kifaa. Bushmamy said: Bushmamy huyo Click to expand... Madame umeelewa pini mwanamke.
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #25 Castr said: Hivi na Ulaya watu wanakunywa vilevi vikali kwa karanga? Click to expand... Castr said: Ngoja aje mtu atujibu. Hiyo Energy na hizo karanga zimeonyesha tupo wote bongo Click to expand... Namaanisha kuwa mambo ya ulaya waachie wenyewe, yakibongo tupambane sisi kwa sisi
Castr said: Hivi na Ulaya watu wanakunywa vilevi vikali kwa karanga? Click to expand... Castr said: Ngoja aje mtu atujibu. Hiyo Energy na hizo karanga zimeonyesha tupo wote bongo Click to expand... Namaanisha kuwa mambo ya ulaya waachie wenyewe, yakibongo tupambane sisi kwa sisi
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #26 La Quica said: Njoo chukua hapa Olasiti Click to expand... Tuma wekundu mbili mzee, zinatosha nyama
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Aug 12, 2020 #27 Bushmamy said: Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu. Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie. Click to expand... Valuer naonaga inaunguza Koo...afu mwili unachemka mbaya ..Aku..enjoy maa!
Bushmamy said: Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu. Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie. Click to expand... Valuer naonaga inaunguza Koo...afu mwili unachemka mbaya ..Aku..enjoy maa!
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Aug 12, 2020 #28 Bushmamy said: Haaaaa Haaaaa π, nilikataa mkuu, hii kundi letu linaratibu sana kura ya Nato. Mmoja akisema no, hakuna anaejikuna Click to expand... Hahahahahaa...kwamba bila mamen nyie si lototeπ€π€Έ
Bushmamy said: Haaaaa Haaaaa π, nilikataa mkuu, hii kundi letu linaratibu sana kura ya Nato. Mmoja akisema no, hakuna anaejikuna Click to expand... Hahahahahaa...kwamba bila mamen nyie si lototeπ€π€Έ
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Aug 12, 2020 #29 Bushmamy ushapata ya nyama? Kuna mtu kasema ukafhukue olasit
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,751 Aug 12, 2020 #30 Mwanamke mlevi Bushmamy said: Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu. Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie. Click to expand...
Mwanamke mlevi Bushmamy said: Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu. Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie. Click to expand...
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Aug 12, 2020 #31 wax said: Mwanamke mlevi Click to expand... Vipi unasumbuka?
La Quica JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,335 Reaction score 3,140 Aug 12, 2020 #32 Bushmamy said: Tuma wekundu mbili mzee, zinatosha nyama Click to expand... Njoo chukua kutuma hairai
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,401 Reaction score 23,604 Aug 12, 2020 #33 Bushmamy said: Kivip kijana Click to expand... Nikitumia hii kitu then Mama yeyoo anipe ile kitu ina meza mwenzake inakua WW3
Bushmamy said: Kivip kijana Click to expand... Nikitumia hii kitu then Mama yeyoo anipe ile kitu ina meza mwenzake inakua WW3
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #34 Wangari Maathai said: Vipi unasumbuka? Click to expand... Subiri nimpandie hewani, nikampe dawa yake,
Wangari Maathai said: Vipi unasumbuka? Click to expand... Subiri nimpandie hewani, nikampe dawa yake,
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #35 Castr said: Wewe umemaanisha pini kifaa.Madame umeelewa pini mwanamke. Click to expand... Oohooo kuna kitu tulikua tunachokonoa
Castr said: Wewe umemaanisha pini kifaa.Madame umeelewa pini mwanamke. Click to expand... Oohooo kuna kitu tulikua tunachokonoa
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #36 wax said: Mwanamke mlevi Click to expand... Vipi dogo unanidai nini nikupe? Nna Kesi na ukoo went? au ni stress za maisha zinakusumbua ?
wax said: Mwanamke mlevi Click to expand... Vipi dogo unanidai nini nikupe? Nna Kesi na ukoo went? au ni stress za maisha zinakusumbua ?
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #37 Wangari Maathai said: Bushmamy ushapata ya nyama? Kuna mtu kasema ukafhukue olasit Click to expand... Olasiti mbali sana na nilipo wangu hadi nifike huko pombe zishaisha kichwani
Wangari Maathai said: Bushmamy ushapata ya nyama? Kuna mtu kasema ukafhukue olasit Click to expand... Olasiti mbali sana na nilipo wangu hadi nifike huko pombe zishaisha kichwani
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #38 bullar said: Nikitumia hii kitu then Mama yeyoo anipe ile kitu ina meza mwenzake inakua WW3 Click to expand... Hivi unapumzikaga kweli wewe ile kitu maana mmh
bullar said: Nikitumia hii kitu then Mama yeyoo anipe ile kitu ina meza mwenzake inakua WW3 Click to expand... Hivi unapumzikaga kweli wewe ile kitu maana mmh
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,326 Reaction score 52,044 Aug 12, 2020 #39 Valeur ni kali kinoma! Alcohol 40
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,554 Aug 12, 2020 Thread starter #40 Sergei Lavrov said: Valeur ni kali kinoma! Alcohol 40 Click to expand... True. Sahiv tunpiga laini laini tukalale
Sergei Lavrov said: Valeur ni kali kinoma! Alcohol 40 Click to expand... True. Sahiv tunpiga laini laini tukalale