Hahaha kwa hiyo sie ni sawa na wanasheria wasioji-update sheria mpya wanabaki na zilezile za 1977.Hili linachangia kiasi kidogo mkuu lakin kwangu halina nafsi sikubahatika kuishi na baba na mama nikiwa na akili zangu timamu, baba kavuta mie bwamdogo mnoo, mama nae hakuniletea baba mwingine mpaka utu uzima wangu, ila haya ni mambo ya kujiongeza katika kuitafuta hasa ile raha ya mapenzi,
Hivi mkuu unajisikiaje pale unapompelekea mtu moto, mwenzako anafika mahala husika, jibu moja kwa moja huwa kuna raha unaipata kwa kumuona umemfikisha mwenzio kunako, basi ni kitu kile kile huwa najisikia raha kumfanyia mwenzi wangu mambo mazuri yanayomfurahisha bila kunikarahisha mie.
haha uncle acha hizo, eti amekakamaaNdiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi! Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanya
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.
Mpwa nawe unalia-ga kitandani?haha uncle acha hizo, eti amekakamaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mzigua halafu huyu ni yule wa kudondosha mistari. Anakutengenezea B n' B halafu anaku serve huku anakudondishea mistari.
Heaven Sent
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Lazima udate. Siku akisema muachane unaweza amkwa kichaa.
On my way to his pm. Thanks
Nyumbani siwezi, ila ikiwa ni hotelini naweza kufata restaurant.
Hapo ni kama bado tupo siku hiyo, tukimaliza chai kuna malipo yangu, then ndo tukafanye mizunguko.
An angel on earth koh kohMzigua halafu huyu ni yule wa kudondosha mistari. Anakutengenezea B n' B halafu anaku serve huku anakudondishea mistari.
Heaven Sent
Your mchumba is temptress
Thank you.......Kama ambavyo unahangaika na maisha huku ipo siku utakufa na kuacha kila kitu
Kwani ukifanyia haya nyumbani.... Malipo yako si bado yapo pale pale tuu..... !!! Nawaza kwa sauti though.... ππ
Sana tu uncleMpwa nawe unalia-ga kitandani?
Yule yupo likizo, ngoja niconquer kingdom nyingineMfilipino wako umempa taarifa
haya mpwa mapenzi mema....jinenepeeSana tu uncle