Mie naweza aisee ila baada ya kukaa nae kwa muda wa miezi kadhaa maana mwanzoni siwezi kutokana na sababu ya kisaikolojia kwani anaweza akahisi labda ninamnyenyekea kwa kuwa kuna kitu natafuta lakini pia mwanzoni ni sehemu ya kusoma hisia zake pia kwangu