C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Sep 9, 2018 #241 RRONDO said: Ewaaaa huo ndio uhalisia. Click to expand... Kumbe ndiyo swali lako lilikuwa linalenga namna hii? Basi hiyo ni kazi ya viben 10. Kwa uzoefu nilio nao ........... Hawanaga huo muda.
RRONDO said: Ewaaaa huo ndio uhalisia. Click to expand... Kumbe ndiyo swali lako lilikuwa linalenga namna hii? Basi hiyo ni kazi ya viben 10. Kwa uzoefu nilio nao ........... Hawanaga huo muda.
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Sep 9, 2018 #242 -KANA- said: Ataswaki baada ya hiyo bed breakfast! Click to expand... INAONEKANA WATU HUAMKA NA VINYWA SAFI BAADA YA KULALA USINGIZI WA 8HRS
-KANA- said: Ataswaki baada ya hiyo bed breakfast! Click to expand... INAONEKANA WATU HUAMKA NA VINYWA SAFI BAADA YA KULALA USINGIZI WA 8HRS
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,799 Reaction score 129,636 Sep 9, 2018 Thread starter #243 thA goD said: Breakfast on bed....nimekusaidia tu. Ukisema in bed una imply umelala...ukisema on bed una imply umekaa au umesimama hata kurukaruka. Hey I'm an engineer usiniulize sana Click to expand... Ukizoea Kiingereza cha kukariri lazima uone IN imekosewa. Haya BBC hao wanasema Breakfast IN bed ila wewe Mmatumbi unasema wanakosea.
thA goD said: Breakfast on bed....nimekusaidia tu. Ukisema in bed una imply umelala...ukisema on bed una imply umekaa au umesimama hata kurukaruka. Hey I'm an engineer usiniulize sana Click to expand... Ukizoea Kiingereza cha kukariri lazima uone IN imekosewa. Haya BBC hao wanasema Breakfast IN bed ila wewe Mmatumbi unasema wanakosea.
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #244 cute b said: View attachment 861191 Click to expand... Daaah
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,799 Reaction score 129,636 Sep 9, 2018 Thread starter #245 cute b said: Kumbe ndiyo swali lako lilikuwa linalenga namna hii? Basi hiyo ni kazi ya viben 10. Kwa uzoefu nilio nao ........... Hawanaga huo muda. Click to expand... Haya
cute b said: Kumbe ndiyo swali lako lilikuwa linalenga namna hii? Basi hiyo ni kazi ya viben 10. Kwa uzoefu nilio nao ........... Hawanaga huo muda. Click to expand... Haya
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Sep 9, 2018 #246 mkamilaevo said: Huyu Dogo cjui kama zinamtosha kweli Click to expand... Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.
mkamilaevo said: Huyu Dogo cjui kama zinamtosha kweli Click to expand... Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Sep 9, 2018 #247 cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana.
cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana.
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #248 cute b said: Aiseeh acha nijisakrifaisi tuu. Tangu nimezaliwa sijapenda ndege acha nikateseke kishujaa Click to expand... Naona unaipotezea ile ya Bali middle of December this year
cute b said: Aiseeh acha nijisakrifaisi tuu. Tangu nimezaliwa sijapenda ndege acha nikateseke kishujaa Click to expand... Naona unaipotezea ile ya Bali middle of December this year
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Sep 9, 2018 #249 4G LTE said: Daaah Click to expand... Unacheka nini sasa. Wewe huwezi hayo malavidavi?
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #250 Mzigua90 said: Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana. Click to expand... Nacheka kama mazuri
Mzigua90 said: Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana. Click to expand... Nacheka kama mazuri
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,799 Reaction score 129,636 Sep 9, 2018 Thread starter #251 cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Ndio nani huyu?
cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Ndio nani huyu?
mkamilaevo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 302 Reaction score 441 Sep 9, 2018 #252 cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Aisee hiv kabisaa na bi mkubwa wake anapita mtandaoni anaona mwanae anafanywa hv haki Mungu anaumwa uchungu upyaaa
cute b said: Malipo anayoyapata baada ya kutenga chai.View attachment 861207 Click to expand... Aisee hiv kabisaa na bi mkubwa wake anapita mtandaoni anaona mwanae anafanywa hv haki Mungu anaumwa uchungu upyaaa
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #253 cute b said: Unacheka nini sasa. Wewe huwezi hayo malavidavi? Click to expand... Mtori ukimwagikia kunako bed je?
cute b said: Unacheka nini sasa. Wewe huwezi hayo malavidavi? Click to expand... Mtori ukimwagikia kunako bed je?
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Sep 9, 2018 #254 4G LTE said: Nacheka kama mazuri Click to expand... Sio mambo mazuri
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Sep 9, 2018 #255 Mzigua90 said: Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana. Click to expand... Yaani hapo wamekutana chizi na tahira... Hahaha hahaha hahaha
Mzigua90 said: Kama matahira. Mwanaume akikosa hela anakua fala sana. Click to expand... Yaani hapo wamekutana chizi na tahira... Hahaha hahaha hahaha
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Sep 9, 2018 #256 4G LTE said: Mtori ukimwagikia kunako bed je? Click to expand... bahati mbaya
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #257 Mzigua90 said: Sio mambo mazuri Click to expand... Sure zaidi ya uzwazwa
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Sep 9, 2018 #258 mkamilaevo said: Aisee hiv kabisaa na bi mkubwa wake anapita mtandaoni anaona mwanae anafanywa hv haki Mungu anaumwa uchungu upyaaa Click to expand... Nahisi mama yake analia kila siku akiona mwanae anachofanyiwa
mkamilaevo said: Aisee hiv kabisaa na bi mkubwa wake anapita mtandaoni anaona mwanae anafanywa hv haki Mungu anaumwa uchungu upyaaa Click to expand... Nahisi mama yake analia kila siku akiona mwanae anachofanyiwa
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Sep 9, 2018 #259 RRONDO said: Ndio nani huyu? Click to expand... Huyo anaitwa holystar na sister fey . Wote ni wanamuziki.
RRONDO said: Ndio nani huyu? Click to expand... Huyo anaitwa holystar na sister fey . Wote ni wanamuziki.
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 9, 2018 #260 cute b said: Yaani hapo wamekutana chizi na tahira... Hahaha hahaha hahaha Click to expand... Kisoda na chupa yake
cute b said: Yaani hapo wamekutana chizi na tahira... Hahaha hahaha hahaha Click to expand... Kisoda na chupa yake