"Break Up"

Make up ni muhimu sana kuliko biere...........
 
jamaa alikwenda bar kunywa beer kila akimaliza moja anaangalia kwenye mfuko wa shati kabla ya kuagiza ya pili bar tender alimuuliza unaangalia nini kwenye shati kabla ya kuagiza bia?
jamaa alijibu nina picha ya mke wangu kwenye shati wakati nikimuona mzuri ndio wakati wa kurudi nyumbani (beer eyes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…