Break pumba

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,573
Nyie kama mnatafuta tafuteni tu, ila hata kwenye maisha kibongo bongo ili kufanikiwa lazima ,utumie kanuni ya break pumbu🤔 yaani fosi mpaka mwisho, kwenye upambanaji , hakuna kinachoshindikana.

Fanya fanya uwezavyo ,ila fanya ulazimishe ipite na break ziwe pumbu bwashee🤗
Usipofanikiwa maishaini ni upumbavu wako tu.


Note: mashoga watajitokeza wakijua ni uzi wao , na utawaona comment zao hapo chini 😅

Ila hapa naonyesha namna ya kulazimisha kufanikiwa kimaisha kibongo bongo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…