Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni inayojihusisha na huduma ya Migahawa na hotel,Break Point Group imefungua mgahawa mpya pande za Kinondoni Mwembe Jini ambacho kitafunguliwa before x-mas,mbali na kiota hicho wana brach nyingine posta near bills na kijitonyama.