Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,441
- 166,948
FISI LIMEMEZA SHANGINGI.
Mimi nazani hawa si watu ila ni mafisi kama uvyosema. iko haja ya kung'oa fisi mmoja meno ukimkuta anaburuza mashine kama hiyo. Hapo kuna uweza kano wa kuuwa sterling lock na tairi za mbele kama unvyoona zinalazimishwa. Tairi moja ya hiyo cruiser na nne za huo mwarubainin unaovuta. Walishaigwa marufuku lakini.
Hakyamungu sijui wanaangalia sura hawa!!!! Siku nikikuta wanakokota gari yangu hvo wallah watakojoa dagaa! naanza na huyo mgambo aliyening'inia hapo nyuma......kabla sijaliwasha moto hilo mwarobaini! Kama nimevunja sheria niandikie "ticket" ntalipa faini, lakini gari yangu usiguse kabisaaa!:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:, :mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
Unajua hawa jamaa huu ni mradi. Baada ya kuona hawapati magari mabovu wakabuni mbinu ya kuchukua magari yaliyo park vibaya. Wanachofanya ni kulivutia central kama upo city centre au kituo chochote cha polisi, ukifika huko wanakuandikia bill ya break down ulipie then wanakuja kwenye kosa napo fine.
Hizi ni loopholes zinazotumiwa na hawa manyang'au wa trafiki, hawaangalii usalama wa barabarani bali wanaangalia pesa. Haya ni matokeo ya serikali corrupt, kila mtua anatumia nafasi ya kufanya kitakachodfanyika ili mradi tu wawatoe chochote raia wema.
Unajua hawa jamaa huu ni mradi. Baada ya kuona hawapati magari mabovu wakabuni mbinu ya kuchukua magari yaliyo park vibaya. Wanachofanya ni kulivutia central kama upo city centre au kituo chochote cha polisi, ukifika huko wanakuandikia bill ya break down ulipie then wanakuja kwenye kosa napo fine.
Mkuu, hata usipopaki vibaya wanakokota tu. Kwa kweli wana laana.